channel logo dark
Nyavu Slim BB
channel logo dark

Nyavu

160Drama16

Kutekwa na hasira – Nyavu

Video
09 Julai

Kila mtu anashangaa kivipi Lena ametolewa jela. Stoni aendelea kumkana mama yake waki Ida apokea pesa toka kwa Shaka akijua mpango wake pekee. Sudi aendela na heka heka zakumtafuta dada yake.