channel logo dark
Mwali S4

Mwali S4

Semindu apigana na Chifu Kandamsile – Mwali

Video
13 Novemba

Jefa amwambia Mwali kama anahisia nae na a kwamba anampenda mbele ya rafiki Cheko. Nozo amwambia Zawadi kwamba hana mapenzi nae na hataki ndoa ya kulazimishwa. Chifu Pingu atayarisha ndoa ya Tausi na Semindu amuokoa mama yake mikononi mwa baba yake.