channel logo dark
Mchikicho small strip
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Wakosa adabu - Mchikicho wa Pwani

Video
20 Juni

Kwenye kipindi cha #mchikicho Mariam wa Migomba ananena jambo la muhimu, asema kuhusu watu ambao hawana nafsi, wakienda kwenye sherehe wanajisahau, kazi yao ni kushimbia kwenye sherehe bila kujali maslahi ya wengine. Si hiyo ni kukosa adabu?