channel logo dark
Slim BB Maisha Yanga
channel logo dark

Maisha Yangu

160RealityPG13

Dr.Samwel Malecela- Maisha Yangu

Video
07 Januari

DR John Samwel Malecela Waziri Mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ana mengi ya kutueleza, harakati zake na wenzake katika kugombania uhuru wa nchi yetu, historia yake katika masomo na mambo ya siasa Usikose Maisha Yangu kila Jumapili saa 1 Usiku