maisha magic bongo logo

Lorenzo hana adabu – Karma

Video
22 Oktoba

Nancy amfuma mpenzi wake na mwanamke mwingine. Derrick amshitukizia Desire chumbani kwake. Kivu anauza nyumba yake. Lorenzo ajaribu kumtongoza mke wa baba yake.