Koku ni binti mwenye elimu ila, ni mkorofi,mmbea na mchonganishi. Ni mtu mwenye tamaa na wivu, pia, ni muhuni lakini anatamani kuolewa.
Koku ni binti mwenye mahusiano na watu wengi[Malaya wa kimya kimya] akitamani maisha mazuri. Changamoto yake ni ugonjwa unamtafuna kimya kimya.