channel logo dark
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Kifo cha Koku- Kapuni

Video
20 Julai

#Kapuni, Juliet kavunja ukimya, Recho simanzi zinazidi, Jeff kamuita Max kuja kushuhudia kifo cha Koku, Max kapiga goti kumuombea Koku msamaha na Robert ameamua kuondoka kukaa mbali kabisa na familia ya Brown, Je Koku atabadilika? #KAPUNITZ kila Jumamosi na JUmapili saa 3 Usiku USIKOSE! https://bit.ly/2LuF5Fs