channel logo dark
Kapuni slim
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Taratibu za msiba- Kapuni

Video
29 Julai

Wiki iliyoipita kwenye #KAPUNITZ , Msibani hali si hali Recho ameshikilia msimamo wake kuhusu kumzika mtoto, Koku hatimaye karudi nyumbani , ndugu zake hata hawashtushwi, fumanizi limenusurika kati ya Joyce, Jordan na Koku, Robert nae kaonywa, je ni nini kitaendela usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumpili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee