channel logo dark
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Tesa ndiyo mama mwenye nyumba –Huba

Video
23 Juni

Mganga ataka kulala na Tima kabla ya kumtibu Kashaulo. Tesa agombana na Roy juu ya yeye kumfuatilia Devi. Kashaulo akuta na deni na Devi amunya Roy kuhusu Tesa. Kibibi aja kuwatembelea Nelly na JB na awaletea zawadi.