channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Miraj amuonya Nelly– Huba

Video
25 Februari

Miraj amuonya Nelly juu ya mapenzi yake na Devi wakati Devi bado yupo na Kibibi. Jude ajitajidi kuwa na mahusiano na mtoto wake na Tima. Tesa amchunguza Nicole wakati Roy bado yupo katikati ya wake zake.