channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Jude kafunguka ukweli kuhusu Batuli - Huba

Video
08 Novemba

Jude kafunguka ukweli wote kuhusu Batuli kwa Steve, Tima kasikia kila kitu, Nandy anaomba kuachana na Roy , Doris anaitwa Cabbage na kufukuzwa na Chali , Sidi nae anafanya mazoezi ya kufa je Tima atafanya mamuzi gani? na Je Liquidi aliokolewa au ndio mwisho wake?